FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Uto tusikate tamaa

Kipindi cha pili tuwapige tatu za haraka haraka hawa Waarabu [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Halafu hawa jamaa mbona huwa ni wepesi sana kukimbia nyuzi zao?

Hapa tunaouwasha uzi ni mshabiki wa Simba Sc tu, vijamaa huwa vinatabia za kipanyapanya muda wote vinachungulia mashimo ya kukimbilia[emoji23][emoji23]
Kuna yule Uto kindakindaki anaitwa zipompa anachungulia Uzi kama kabinywa kengele
 
Monastir wanatumia tu madhaifu ya wachezaji wa Yanga. Ufupi wa wachezaji wa Yanga. Mipira ya kona na cross hesabia goli tu. Kimpira Yanga imewazidi
 
Kipindi cha pili Nabi mtoe Feisal muweke Azizi Ki ufanye super sub kama ulivyofanya kwa Club Africain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…