mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
HT. utopolo tumelala yoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤕🤕🤕Binamu usitufanyie hivyo wenzako. Tuna mioyo pia 😓😓😓😓😓
Siangalii kwa sababu nyingine kabisa mtani. Ningekuwa nipo home, ningeangalia.Punguza hasira mkuu
MnavichekeshoMwarabu anakufa mapema
5-2Wananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome
Kushuhudia soka safi
Bila uchawi........
Magoal. Ya kutosha
Utabiri
YANGA ANASHINDA 3........0
Wewe si ulikuwa unatamba na usajili wenu?Simba Jana imepata point 3 huku horoya ikicheza bila mashabiki wake, hongereni.
Hivi mnadhani mnapowarogaga wenzenu Kwa Mkapa kwamba na wao hawajui kutumia uchawi kwenye home ground?Mkuu unatazama mpira upi?
Unaota we mdadaYanga wanacheza ki bingwa sana. Hawa ndio mabingwa [emoji471] wa hii michuano nimekaa palee
Safi sanaYanga wanapiga faulo, njeee
Kuna yule Uto kindakindaki anaitwa zipompa anachungulia Uzi kama kabinywa kengeleHalafu hawa jamaa mbona huwa ni wepesi sana kukimbia nyuzi zao?
Hapa tunaouwasha uzi ni mshabiki wa Simba Sc tu, vijamaa huwa vinatabia za kipanyapanya muda wote vinachungulia mashimo ya kukimbilia[emoji23][emoji23]
Hizi ndoto unaotaje saa moja?Tunasubiri goli 3 second half, tuheshimiane