FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Mlianza kupenda timu kabla ya kupenda mpira kwanza ndio shida ya wengi wenu.

Football ni mchezo wa makosa, ulifanya makosa unaadhibiwa, hapo hakuna John Bocco wakisema ufanye makosa na bado anashindwa kufunga, hao Waarabu wamewekeza kwenye mpira, sisi ndio tunaanza.

Hakuna mafanikio ya haraka, hata Simba amekula sana hamsa hamsa mpaka zikampa uzoefu wa hii michuano.

Vipers siyo timu mbovu iliyokalishwa na Raja, Mwarabu ukianza mechi kwake hafanyi makosa.
Duh, Dr Matola PhD? Hii sikua nimeiona, hongera sana, hii ni ile ya USD 2500? Au ya maganda ya korosho?
 
Utakuwa ulikuwa unaota
D5B337CE-F474-488E-A3B9-E84F5DFF0DE0.jpeg
 
Back
Top Bottom