FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

[emoji2][emoji2] Nilipoona tu hicho kikosi,nilijua leo tunafungwa. Prof. Nabi ana makusudi sana.

Mechi ya ugenini kama hiyo, alitakiwa kucheza na viungo wachezeshaji na wale wakabaji wengi mfano Mudathir Yahaya, Farid Mussa, na hao alio anza nao! kwa lengo la kumiliki mpira na pia kupunguza mashambulizi. Sasa anawapanga Kisinda na Moloko, halafu ayegemee matokeo!

Uzuri na nyinyi mlifungwa jana! Hivyo tutagawana maumivu. Mimi hata mpira wenyewe siangalii.
Maneno meengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ulichoandika hapo ndicho Simba walichofanya jana ili kupunguza kasi ya mashambulizi..
 
SAWA ila sio kwa upesi hivyo
Mlianza kupenda timu kabla ya kupenda mpira kwanza ndio shida ya wengi wenu.

Football ni mchezo wa makosa, ulifanya makosa unaadhibiwa, hapo hakuna John Bocco wakisema ufanye makosa na bado anashindwa kufunga, hao Waarabu wamewekeza kwenye mpira, sisi ndio tunaanza.

Hakuna mafanikio ya haraka, hata Simba amekula sana hamsa hamsa mpaka zikampa uzoefu wa hii michuano.

Vipers siyo timu mbovu iliyokalishwa na Raja, Mwarabu ukianza mechi kwake hafanyi makosa.
 
😃😃 Nilipoona tu hicho kikosi,nilijua leo tunafungwa. Prof. Nabi ana makusudi sana.

Mechi ya ugenini kama hiyo, alitakiwa kucheza na viungo wachezeshaji na wale wakabaji wengi mfano Mudathir Yahaya, Farid Mussa, na hao alio anza nao! kwa lengo la kumiliki mpira na pia kupunguza mashambulizi. Sasa anawapanga Kisinda na Moloko, halafu ayegemee matokeo!

Uzuri na nyinyi mlifungwa jana! Hivyo tutagawana maumivu. Mimi hata mpira wenyewe siangalii.
Game mmetawala vizuri hakuna sehemu utaweza kumlaumu kocha

Tatizo mmefanya mazoea kila mnapopata matokeo mabaya mnaona sababu ni kocha

Kinachofanyika hapa ni Quality ya mchezaji mmoja mmoja, hii mechi ndio imeamuliwa hivyo
 
Sasa itakuaje kwa wale mashabiki wilioko Jangwani kwenye bigi skrini?
F9A3EC4B-F709-4EDA-B94B-973CE2FE4BE7.jpeg
 
Freekick Yanga wanapata eneo zuri nje kidogo ya 18
 
Back
Top Bottom