FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Wananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome

Kushuhudia soka safi

Bila uchawi........

Magoal. Ya kutosha

Utabiri

YANGA ANASHINDA 3........0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.

Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Utasema yote Leo lakini huyu mfungwa lazima tumtoe maturu leo
 
Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.

Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Pia lomalisa na yule wa kutoka Mali walikuwa muhimu kwenye hii mechi. Kwasababu angalau wana kimo. Halafu bado somo la kiungo mkabaji bado haijamuingia Nabi, sureboy na Aucho sio viungo wakabaji asilia..
 
Back
Top Bottom