FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.

Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Hawa jamaa wenyewe wanacheza Counter, na nyinyi mngekuja na Counter unadhani mpira ungekuwaje?

Hapa sasa tayari mshafungwa kwa hiyo hakuna tena kuzuia kwasababu hii sio mechi ya magoli

Kipindi cha pili nategemea Nabi akiongeza nguvu kwenye kushambulia zaidi
 
Kama issue ni hiyo na wao wakija Dar mechi ichezwe SAA 8 achana.
Ile siku Simba anapigwa kule Morocco na Berkane kwenye nyuzi joto 20⁰ , walipokuja na utetezi wa hali ya hewa mliwaelewa?

Ile siku na Club Africain, mlivyoshinda baridi hamkulijua?


Nyie pigweni tu[emoji1].
 
Back
Top Bottom