Game ni HT Kaka.Nyie mbona nasikia kelele huko, Cha tatu au ?
Kelele Za Man City
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ni HT Kaka.Nyie mbona nasikia kelele huko, Cha tatu au ?
Hawa jamaa wenyewe wanacheza Counter, na nyinyi mngekuja na Counter unadhani mpira ungekuwaje?Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Mie nimekutahadhalisha tu, maana sipendi yakukute, tumeanza pamoja na tumalize pamoja.Yah kweli mzee
sasa wewe ndio unaleta uchochezi
Hata leo hajaufunga?aziza k bado domo tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kala Sugunyo ndani ya dk 16 tu.Jana mmekimbia thread yenu hatujawaona Leo mmedamka kuja kumuanzishia Uzi mwanaume
Makolo bana
Kama 🐸 janaNaona Mikia wanavyoshindana kutype hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣Jamani nmewaambia hamchezi na ihefu
HahahahaKwa hiyo pasi ndio mpira halafu magoli sio mpira. Hakika uto..
Bado moja tuUtabiri wangu
3-0
Yanga 3 Waarabu 2Bado moja tu
Mechi yetu kabisa hii , sekandi hafu usikimbieTulia dawa iwaingie
Unataka upotee?Nipo tu mahali salama nimejificha! 😃
Aaaah shukrani kaka, maana niliogopa ..Game ni HT Kaka.
Kelele Za Man City
Tusubiri dk 45 zilizosaliaYanga 3 Waarabu 2
Sisi 2 Yanga yaiiiiii boli litembeeHoroyaaaaaa 1 vs simba yaaaaaiiii
Anashinda niniYanga Anashinda 3:2
Wengi hawawezi kukuelewa mkuuYanga 3 Waarabu 2
Ile siku Simba anapigwa kule Morocco na Berkane kwenye nyuzi joto 20⁰ , walipokuja na utetezi wa hali ya hewa mliwaelewa?Kama issue ni hiyo na wao wakija Dar mechi ichezwe SAA 8 achana.