dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mpumabvu San hyu jamaa sijui kapataje Kaz hyo anyway ngoja niwasiliane na DStvNaangalia DStv upande wa kiswahili. Mtangazaji ni Jemedari.
Sasa mpira umeenda mapumziko kasahau kuzima mic anatukana wachezaji wa Yanga.
Eti "kumamake mabeki wote mbilikimo"
Kweli.. who knows.. 5-0 dk 90?Mpira dakika tisini.
Simbaaaa.ππkuna timu iliwahi kimbia namna hii kwa yanga
Team za karikooo bila bahasha na uchawi akuna kituMaua sama itabidi ushinde nne sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome
Kushuhudia soka safi
Bila uchawi........
Magoal. Ya kutosha
Utabiri
YANGA ANASHINDA 3........0
Nipo tu mahali salama nimejificha! πKwani upo wapi kwa sasa?
Kwa hiyo pasi ndio mpira halafu magoli sio mpira. Hakika uto..Anamaanisha kiumiliki nadhani.
Utasema yote Leo lakini huyu mfungwa lazima tumtoe maturu leoMechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Ndo tamaduni zaoTeam za karikooo bila bahasha na uchawi akuna kitu
Tulia dawa iwaingieHili wengi hawajui maana hapa wengi wamezaliwa early 2000's
Pia lomalisa na yule wa kutoka Mali walikuwa muhimu kwenye hii mechi. Kwasababu angalau wana kimo. Halafu bado somo la kiungo mkabaji bado haijamuingia Nabi, sureboy na Aucho sio viungo wakabaji asilia..Mechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
Mkirudisha niite aisha cheupeLeo hawa wakitoboa ni sare, mpira dk 90 wametangulia tu
Daima mbele [emoji169][emoji172][emoji123]
πππππ Meaning 2-2,Let's watch.ILa muda bado mnaweza rudisha....
Mbele mwiko nyuma mwiko
Atoke chama aingie fesalMechi kama hizi za makundi na ugenini, point 1 tu inatosha. Ningekuwa mimi ndiyo kocha, ningejaza viungo wengi wakabaji na wachezeshaji.
Mbele angebakia Mayele peke yake kwa ajili ya counter attack.
UnasemaYanga anashinda mbili
Hahahaa. Nawaza zile tano zako unazoziombea zikifika sidhani kama utaeza lala leo Mtani. πKweli mtani, until its over, naona baada ya goli 2 Yanga wametulia. Diarra kipa mzuri sana