OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #1,001
83' Monastir 2-0 Yanga
Nchi bado ipo kwenye aibu
Mona wanalala
Nchi bado ipo kwenye aibu
Mona wanalala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo mtaingiza wote.Toa Moroko ingiza Farid
Heeeee huyu Mayele ni mbwa, ameokoa
Bantu lady mbona kama unamakasiriko moyoni mwako! Pole bhanaKama za jana tu
Njooni tuu bongo muwafunge wakina mtibwa sugar ruvu na kina namungo huko majuu kapateni uzoefu huu msimuNa wala siyo Guinea
Hakuna cha bahatiTumezoea aibu wakuu hatutegemei makubwa labda itokee bahati
Halafu akumbuke kuwa Simba inashiriki mashindano ya ngazi ya juu zaidi kuliko Utopolo.Kwenye mchuano hii ya kimataifa sidhani kama Simba unaweza kuilinganisha na Yanga kwasababu sio mara ya kwanza imeanza hivyo na ikafika mpaka robo fainali, unless hiyo PhD iwe ni ya kununua.
Kafanyaje SasaMsonda in......
tumewekeza kwenye possessionDk 83......hapa tuwe serious kidogo ushabiki pembeni, kwanini timu zetu zinafungwa magoli ya aina moja,na zote zinaongoza Kwa possession?
We umewahi kumuona wapi?😂😂Kinaingia chuma upande wa Mona
Hiyo possession tupa kule IDk 83......hapa tuwe serious kidogo ushabiki pembeni, kwanini timu zetu zinafungwa magoli ya aina moja,na zote zinaongoza Kwa possession?
Sasa nyinyi wenye uzoefu mbona hamuonyeshi njia?Njooni tuu bongo muwafunge wakina mtibwa sugar ruvu na kina namungo huko majuu kapateni uzoefu huu msimu
Angalia mechiKafanyaje Sasa
Dk 83......hapa tuwe serious kidogo ushabiki pembeni, kwanini timu zetu zinafungwa magoli ya aina moja,na zote zinaongoza Kwa possession?
Tulia upigike mimi sikukutuma kuwa UtoWe umewahi kumuona wapi?😂😂