SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ma'mae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma'mae
😂😂😂😂😂Azizki Ki kakunja bukta imekuwa kama pempasi lakini bado watu hawana huruma hata uki behave kitoto
Mambo ya Guinea yaliisha jana, leo tupo Tunisie 😅Na wala siyo Guinea
Sisi andunje andunje ndio tatizo. Urefu muhimu sana kwenye michuano ya kimataifa.Dk 83......hapa tuwe serious kidogo ushabiki pembeni, kwanini timu zetu zinafungwa magoli ya aina moja,na zote zinaongoza Kwa possession?
Mikia jana nawao waliongoza possession,na sisi leo ze semutumewekeza kwenye possession
Hapo nimevuka muda sio mrefu leo, unasafiri?Ahjussi nipo busisi huku sijui nchi gani hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpuuzi anaenda kuchekea chooni"kila baada ya dk 5 Haji anakimbilia chooni akitoka huko kajaa machozi, hivi hayo ni machozi ya furaha au ya huzuni? Hatuna imani naye achunguzwe"
Amesikika bosi mmoja wa Uto akilalamika kwenye simu [emoji23][emoji23]
Nikweli kabisa 💛💚💪😂Tumeshalala, kila mtu ashinde kwake sasa
Tulia mrembo sie ndio watamu wa kimataifa ...ila mechi ya mazembe twende wote taifa bwana...nakununulia na jerseySasa nyinyi wenye uzoefu mbona hamuonyeshi njia?
Sisi na nyinyi walewale, mnabaki ooh kwa Mkapa hatoki mtu!!! Maneno ya mkosaji tu.
Labda Africa sanaYanga hii itachukua ubingwa wa Africa - Haji Sunday Manara
Naangalia mayelle wenu anavyoruka rukaAngalia mechi
Mikia buana 😀Tulia upigike mimi sikukutuma kuwa Uto
WamemstukiaMpuuzi anenda kuchekea chooni