FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

"kila baada ya dk 5 Haji anakimbilia chooni akitoka huko kajaa machozi, hivi hayo ni machozi ya furaha au ya huzuni? Hatuna imani naye achunguzwe"

Amesikika bosi mmoja wa Uto akilalamika kwenye simu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwenye mchuano hii ya kimataifa sidhani kama Simba unaweza kuilinganisha na Yanga kwasababu sio mara ya kwanza imeanza hivyo na ikafika mpaka robo fainali, unless hiyo PhD iwe ni ya kununua.
Halafu akumbuke kuwa Simba inashiriki mashindano ya ngazi ya juu zaidi kuliko Utopolo.
 
Njooni tuu bongo muwafunge wakina mtibwa sugar ruvu na kina namungo huko majuu kapateni uzoefu huu msimu
Sasa nyinyi wenye uzoefu mbona hamuonyeshi njia?
Sisi na nyinyi walewale, mnabaki ooh kwa Mkapa hatoki mtu!!! Maneno ya mkosaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…