FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Yanga leo ndio wanajua mpira dakika 90, siku zote walikuwa wanajua ni robo saa
 
Yanga leo ndio wanajua mpira dakika 90, siku zote walikuwa wanajua ni robo saa
Hapana unajua shida Guinea kule kama masaa hayaeleweki hivi. Yaani ukipigwa kimoja ni dharau sana...
 
Mpaka wakati mwingine,mara nyingine

Daima mbele,nyuma mwiko πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’ͺπŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’ͺ,we will baunsi baki


Come on you Citizens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…