Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mtaniNiache huko, nimeshavurugwa muda huu 😏😏😏😏😏
Au sioNdio ndio Mtani subiria uone vile tunapambania points tatu ugenini.
10' GOOOOOOOOOOOOOO Yanga wanafungwa goli la kwanzaWananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome
Kushuhudia soka safi
Bila uchawi........
Magoal. Ya kutosha
Utabiri
YANGA ANASHINDA 3........0
Yani yaliyomo yamooooooooooooo,wamenyeeshewa na mvuaaaaaaaaaaaaWamelouwaaaa wamelouwaaaa wamenyeshewa na mvuaaaaa
Mnunulie maji ya kunywaKuna mtu wa heshima niko nae hapa alaf n topolo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Wazungu wana kauli yao wanasema relax.Niache huko, nimeshavurugwa muda huu 😏😏😏😏😏
Nani aliwalazimisha msajili wafupi. Kama kigezo cha kuzesha mpira ni urefu sajilini wamasai🤣🤣🤣🤣Hawa. Jamaa ni warefu sana
Wamepatikana leo wasee wa bahasha.Mitaa imepoa kinyama [emoji23]