Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Pigwaaaa mtapigwa kipigo cha aibuSimba Jana imepata point 3 huku horoya ikicheza bila mashabiki wake, hongereni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pigwaaaa mtapigwa kipigo cha aibuSimba Jana imepata point 3 huku horoya ikicheza bila mashabiki wake, hongereni.
Kwani wanaugua mshipa? [emoji23]AU ni baridi jamani???
Ameingia kapandisha...Mnao angalia mechi, azizi funguo leo hajapandisha bukta?
Anzisha basi uzi wako pengine mtashindaaliyeanzisha ana gundu la jana.
Hatari sana Mtani...Asante dear mtani, ila ball linatembea hili [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nitumie namba zake kama unazo nimpe poleeDada yao Ashura cheupe muda huu kawa mwekundu
Pole my dear, ndio namna mtoto hukua. Lazima aanguke kidogo.Asante dear mtani, ila ball linatembea hili 😄😄😄😄😄