FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Sure boy na Aucho wanaifanya kazi yao vizuri pale kati ila mipira ikishafika mbele yaani tunapooza yaani we are not aggressive, hawa jamaa hata possession tumewapita ila wenzetu wakiwa golini kwetu wanashambulia kama nyuki.

Tukifanya masihala yatatukuta ya Vipers.
 
"Chenga twawala, magoli wapata wao sheikh"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Kimo cha beki zetu ndio kimetugharimu. Hili ni janga la wachezaji wote wa kitanzania Wana vino vifupi, anyway mechi bado tuna Dak 45 zingine za kujiuliza...... [emoji617][emoji617]Daima mbele
 
Haya tena wamerudi. Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom