FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Kimo cha beki zetu ndio kimetugharimu. Hili ni janga la wachezaji wote wa kitanzania Wana vino vifupi, anyway mechi bado tuna Dak 45 zingine za kujiuliza...... [emoji617][emoji617]Daima mbele
Ikiwa kigezo cha mpira ni urefu sajilini Morani wa kimaasai🤣🤣🤣
 
Nunua pop corn kabisa
kenan-thompson-eating-popcorn.gif
 
Muda wa minuso huu sio time ya kuumia macho kwenye game mbovu
 
Hivi mnadhani mnapowarogaga wenzenu Kwa Mkapa kwamba na wao hawajui kutumia uchawi kwenye home ground?

Mechi za Africa kupata matokeo away ujipange hasa, otherwise labda upangwe na timu nyepesi kama Zalan na De Agosto unampiga mtu 3 nyumbani kwake.
Haya mambo mbona huwa hauyajui kabla ya game? Maana ulikuwa una brag sana kuhusu usajili wenu mzuri na ukadai hakuna team ya kuwasumbua.

Kipindi kile dhidi ya Al Hilal uli brag hivi kisha mkatolewa, leo asubuhi umetamba hivihivi kisha sasa unapokea aibu yako.


Sasa unatia huruma ya nini?
 
Back
Top Bottom