Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Ikiwa kigezo cha mpira ni urefu sajilini Morani wa kimaasai🤣🤣🤣Kimo cha beki zetu ndio kimetugharimu. Hili ni janga la wachezaji wote wa kitanzania Wana vino vifupi, anyway mechi bado tuna Dak 45 zingine za kujiuliza...... [emoji617][emoji617]Daima mbele