Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
ππππππππ zitarudi tu
Sisi 2 Yanga yaiiiiii boli litembee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi 2 Yanga yaiiiiii boli litembee
Hatari gani ile?Hatari pale kwa Yanga Bangala anaokoa
umenikumbusha mbali sana ile mechi nyau alishambuliwa mara 11 on target mara 5 offSimba aliongoza kwa takwimu game yake na ASVITA CLUB na akafa 5, au umesahau?
Kuongoza hakuna maana yoyote ikiwa unafungwa magoli rahisi
Hawawezi kukuelewa mkuu πππͺπππππππππ zitarudi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpigie basi pengine hana bando ndio maana hayupo hapa, tunaweza kuchanga anunue bando tuserebuke pamoja wana Lunyasi nguvu moja.
Hii timu ingecheza na Simba nauhakika Simba angeshinda goli sio chini ya nne46' Monastir 2-0 Yanga
Nchi bado ipo kwenye aibu
?Kama huko kwenu[emoji1787]
Hawa watu Wana vimo zaidi ya miti ya milunda. Sema pro nabi hakufanya homework yake vizuri jinsi ya ku deal na mipira ya juu Kwa back line yake...Ikiwa kigezo cha mpira ni urefu sajilini Mora i wa kimaasai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
πππͺYanga tupo hapa rudisheni hata kamoja tuwazime unga fc
Mbona simuoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguvu moja Wana Lunyasi...
Nimemchek tayari....Anakuja..
Hawa watu Wana vimo zaidi ya miti ya milunda. Sema pro nabi hakufanya homework yake vizuri jinsi ya ku deal na mipira ya juu Kwa back line yake...
Mimi binafsi nimekubali hii game tunaenda kupoteza japo lolote linaweza kutokea ndani ya Dak 90
Nasubiri [emoji16]Aaah wametupiga timing Moja ya kibabe sana[emoji24][emoji24].. ila Wananchi tunaweza fanya kitu just wait an see
Kwahiyo jana Simba Sc hakuongoza umiliki wa mpira?takwimu umeona lakini
naongoza kumiliki mpira na kuwafikia langoni hawa weupe kwetu