FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Simba aliongoza kwa takwimu game yake na ASVITA CLUB na akafa 5, au umesahau?

Kuongoza hakuna maana yoyote ikiwa unafungwa magoli rahisi
umenikumbusha mbali sana ile mechi nyau alishambuliwa mara 11 on target mara 5 off

dadaq akabaki anachezea mpira nyuma kutengeneza ball possesion
 
Ikiwa kigezo cha mpira ni urefu sajilini Mora i wa kimaasai[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa watu Wana vimo zaidi ya miti ya milunda. Sema pro nabi hakufanya homework yake vizuri jinsi ya ku deal na mipira ya juu Kwa back line yake...

Mimi binafsi nimekubali hii game tunaenda kupoteza japo lolote linaweza kutokea ndani ya Dak 90
 
"Faida ambayo yanga wanayo dhidi ya hii team, hivyo kiwasaidi kushinda ni:-

Kocha - Mtunisia

Daktari- Mtunisia

Wa viungo- Mtunisia"

Ila Yanga bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa watu Wana vimo zaidi ya miti ya milunda. Sema pro nabi hakufanya homework yake vizuri jinsi ya ku deal na mipira ya juu Kwa back line yake...

Mimi binafsi nimekubali hii game tunaenda kupoteza japo lolote linaweza kutokea ndani ya Dak 90

Sasa ulitaka Nabi awatose wa-Tunis wenzake?
 
Back
Top Bottom