FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Kwani Feisal mpira anacheza Peke yake mbona tulipigwa na Wasudan na yy akiwepo.

Sijui unatumia TV gani kuangalia mechi ,ila kwa akili yako unazani Yanga kwenye Kiungo tumeelewa?
Mbona unachuki sana na dogo? So humkumbuki kabisaa
 
Kwani Feisal mpira anacheza Peke yake mbona tulipigwa na Wasudan na yy akiwepo.

Sijui unatumia TV gani kuangalia mechi ,ila kwa akili yako unazani Yanga kwenye Kiungo tumeelewa?
Easy bro usipanic
 
Wapigwe hata nne hawa...
IMG-20230212-WA0099.jpg
 
Kimo cha beki zetu ndio kimetugharimu. Hili ni janga la wachezaji wote wa kitanzania Wana vino vifupi, anyway mechi bado tuna Dak 45 zingine za kujiuliza...... [emoji617][emoji617]Daima mbele
Huu utetezi hamkutaka kuusikia kabisa ile jana, unalizungumziaje hilo?
 
Hii gemu ilikuwa yetu sema hawa jamaa wametuzidi urefu ndio kinacho wasaidia

Back
Top Bottom