SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Bado tu hazijafika goli 6 huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo live hapa ndani ya dimba la Olympique rades jijin Tunis, Hawa mbwa Wana vibe sana humu uwanjanMzee wa bwaksi upo kwa ile screen pale kwenye kale kagorofa ka njano au upo kibanda umiza ?
Mbona unachuki sana na dogo? So humkumbuki kabisaaKwani Feisal mpira anacheza Peke yake mbona tulipigwa na Wasudan na yy akiwepo.
Sijui unatumia TV gani kuangalia mechi ,ila kwa akili yako unazani Yanga kwenye Kiungo tumeelewa?
Kwa hiyo huoni coments auUpdates imeishia wapi?
Easy bro usipanicKwani Feisal mpira anacheza Peke yake mbona tulipigwa na Wasudan na yy akiwepo.
Sijui unatumia TV gani kuangalia mechi ,ila kwa akili yako unazani Yanga kwenye Kiungo tumeelewa?
Kazi hawezi kukosa yule[emoji1]Sidhani kama jemedari atapata shavu dstv tena.
Uto lazima watamsagia kunguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Naangalia DStv upande wa kiswahili. Mtangazaji ni Jemedari.
Sasa mpira umeenda mapumziko kasahau kuzima mic anatukana wachezaji wa Yanga.
Eti "kumamake mabeki wote mbilikimo"
Nimechukia wapi nimemuliza mbona tulitolewa na Wasudan na yeye akiwemo.Mbona unachuki sana na dogo? So humkumbuki kabisaa
Nani kapanic mimi nimekushangaa wewe .Easy bro usipanic
Huu utetezi hamkutaka kuusikia kabisa ile jana, unalizungumziaje hilo?Kimo cha beki zetu ndio kimetugharimu. Hili ni janga la wachezaji wote wa kitanzania Wana vino vifupi, anyway mechi bado tuna Dak 45 zingine za kujiuliza...... [emoji617][emoji617]Daima mbele
Acha uongo mzee 😂Nipo live hapa ndani ya dimba la Olympique rades jijin Tunis, Hawa mbwa Wana vibe sana humu uwanjan
Naona ukiona jina la feisal unakua mkali...Nimechukia wapi nimemuliza mbona tulitolewa na Wasudan na yeye akiwemo.
Sasa wewe leo unaliona pengo la Feisal, labda uni ambie Morrison.Naona ukiona jina la feisal unakua mkali...
Au macho yangu