FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

fa27e69d-3f1b-4ffe-abe1-e0750196986e.jpg
 
Dk 83......hapa tuwe serious kidogo ushabiki pembeni, kwanini timu zetu zinafungwa magoli ya aina moja,na zote zinaongoza Kwa possession?
Tatizo tumewekeza kwenye maneno kuliko uhalisia.

Mara Jezi zetu kali za kwao mbaya,utafikiri jezi zinacheza.

Siku tukiacha siasa uchwara za Mpira wa Bongo tutafika mbali.
 
Back
Top Bottom