TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Huu uzi ameanzisha OKW BOBAN SUNZU ni mwanasimba ogYaan simba ndo leo mmefikisha comments 1000+ kwenye uzi wetu
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ameanzisha OKW BOBAN SUNZU ni mwanasimba ogYaan simba ndo leo mmefikisha comments 1000+ kwenye uzi wetu
Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Tumepoteza hii mechi, tunaganga yajayo. Nabi ana kibarua kizito si kidogo.
Hehehe hili swala ungelisema wakati nipo hapo ningeaiangalia hiyo nchi, ila sasa sikuiona wakati huo[emoji23].Yelewiiii kuvuka wapi ndo mitaa niliyopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inchi ya wananchiii,nchi ya kijaniiii
Hyo ni ndoto Mzee babaHasira tutamalizia kwa TP Mazembe
Kuwa na adabu na mkia wakoNa hii ndo Yan'gaaaaaaaaaaaaaaaa
Kweli utopolo ni utopolo tuu....
Yelewiiiiii
Nawashukuru mikia Kwa kampani yenu,bila nyinyi ningumu huu Uzi kosegea 😂
Si bora nikawa sina timu sasa wakalia mwiko wa nnKwani wewe mwananchi
92' Monastir 2-0 Yanga
Nchi bado ipo kwenye aibu
Horaya FC 1 - simba SC 092' Monastir 2-0 Yanga
Nchi bado ipo kwenye aibu
Ndio mfumo wa ligi hii, kila mtu ashinde mechi zake.Kila mtu ashinde kwake kauli mbiu ya Watanganyika
Aibu kubwa sana haka timu Moro kids kabisa93' Monastir 2-0 Yanga
Nchi bado ipo kwenye aibu
Daima mbele [emoji169][emoji172][emoji123]