Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mwiko nyuma 😀Si bora nikawa sina timu sasa wakalia mwiko wa nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwiko nyuma 😀Si bora nikawa sina timu sasa wakalia mwiko wa nn
Bantu Lady 😃😃😃Yanga wakiwa siriaz watamaliza wa mwisho
Hiyo ni kauli mbiu ya Simba Sc na inafanya kazi kwao tu, sisi acha tujipange kwa msimu ujao.Kila mtu ashinde kwake kauli mbiu ya Watanganyika
Mwiko nyuma mkuuDaima mbele [emoji169][emoji172][emoji123]
Wapo wa mwisho kwenye kundi lao. Na Jumapili Mazembe anawatumbua tena.Horaya FC 1 - simba SC 0
Waanzilishi wa kuiletea nchi aibu.
Ungeenda kuwasaidiaHawa jamaa waliacha kucheza tangu wafunge goli la 2.. wakaamua kufanya training session. Wangeamua wangefunga hata 7.
Huyo shabiki mwenzako wa huko,usitutajie tajieNi aibu nzitooooo
Haji Manara alaaniwe kwa mdomo wake
"Hili ni kombe la losers"
Kaanza kufa mwanaume, mwanamke nae kafuata.. sio poa..!Full Time
Monastir 2-0 Yanga
Nchi imeingia kwenye aibu
Na wewe kuwa na adabu na kishimo chakoKuwa na adabu na mkia wako
Bantu lady mbona kama unatafuta kichaka cha kujificha mkuuHoraya FC 1 - simba SC 0
Waanzilishi wa kuiletea nchi aibu.
Hata kule club msimamo tayari ushapatikanaInshallah msimamo utaisha hivyo
Kama jana tu. Msijizime data... Hamna cha kufurahia...Bantu Lady 😃😃😃