Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kafa foli mbili mzee una hali gani uko ulipo?Bado mbungi haijaanza leo yanga wanapiga mtu 5
Kabisa vibonde wote wa Africa wanakutana kwenye hili Kombe.Ni aibu nzitooooo
Haji Manara alaaniwe kwa mdomo wake
"Hili ni kombe la losers"
Mnashika mkia kwenye group lenu huko... kalieni tu ooh kwa Mkapa hatoki mtu. Kama mlivyo mikia hadi mmeshika mkia.Mtani tulimalizana ya Guinea jana, leo tupo Tunisie, kwa nini huelewi ?
Mkuu hapa ni utani tu wa mpira,huko unakokwenda bahati mbaya sijafunzwa hivyo hata kama tunatumia fake names......tunaenjoi tu ila tuheshimianeNa wewe kuwa na adabu na kishimo chako
Gongowazi [emoji196] mambo kama haya ni magumu kwao. Na bendera yapaswa kupepea nusu Mlingoti yaani.Full Time
Monastir 2-0 Yanga
Nchi imeingia kwenye aibu
Pole sana mkuuPamoja na kipigo ila Yanga ni timu nzuri sana. Simba wanalijua hili
Raha ya Bongo usiyempenda afeli,raha ya jana imeisha dk 15 tu leo 😂Mungu shahidi, nina raha ya ajabu
Nani anashika mkia, nenda kaangalie msimamoMnashika mkia kwenye group lenu huko... kalieni tu ooh kwa Mkapa hatoki mtu. Kama mlivyo mikia hadi mmeshika mkia.
Nikumbushe ahadi yangu niliyokuambia nitaitimiza baada ya game yenu ya leo?Wanajifanya hawakumbuki
⚽️ US Monastir🆚Young Africans SC
🗓 12 February 2023
⏱ 11:00 Jioni TUN | 01:00 Usiku TZ
🏟 Uwanja wa Rades, Tunis
🏆 CAFCC
Kikosi cha Yanga
Usiku wa deni haukawii. Hatuondoki hapa mpaka usiku mnene tukifurahi ushindi
Timu zinaingia uwanjani
Mchezo umeanza
2' Yanga wameanza kwa kasi, Kisinda anapata nafasi ya kukimbia na mpira
10' GOOOOOOOOOOOOOO Yanga wanafungwa goli la kwanza
Mohamed Saghraoui anawatanguliza wenyeji kwa bao la mapema
16' GOOOOOOOOOOOOOOO, Yanga wameruhusu magoli mawili ndani ya dakika 16
Boubacar Traore anafunga goli la pili kwa kichwa
30' Yanga wanaonesha utulivu na kumiliki mpira
35' Wenyeji ni hatari wanapokaribia lango, wanafanya mashambulizi makali
43' Yanga wanapata faulo karibu na lango la wapinzani, shuti linapigwa linapaa juu
MAPUMZIKO
Kipindi cha pili kimeanza
47’ Mayele anapiga shuti kali kipa anapangua kwa mguu
50’ Yanga wameanza vizuri, wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi
57’ Moloko anachezea faulo karibu na lango la US Monastir
58’ Shuti la Azizi Ki linambabatiza kipa na kurejea uwanjani
62’ Yanga wanaendelea kujipanga wakitengeneza nafasi kadhaa
62’ Lomalisa anaingia, ametoka Kibwana
75' Yanga wanafanya mabadiliko
Anatoka Moloko anaingia Frid Mussa, anatoka Aucho anaingia Mudathiri Yahaya
85' Wenyeji wanacheza soka la taratibu na kuonekana kutokuwa na haraka
90' Zinaongezwa dakika 4
Full Time
Kwa hiyo Jana ukuni uliokuwa darini ulikuwa unaucheka uliokuwa unaungua jikoni sio

Unanifurahisha sana kwa style yako ya kujipa moyo 🤣Mnashika mkia kwenye group lenu huko... kalieni tu ooh kwa Mkapa hatoki mtu. Kama mlivyo mikia hadi mmeshika mkia.