FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

BASI tufanye wananchi wameshinda! mkiona hilo gumu tuseme wananchi wamewaachia wageni wao! ukarimu ni tabia ya wananchi!
 
Yani nna furaha kinyama[emoji23][emoji23][emoji23] kama nlijua nkajipikia kapilau kangu[emoji39][emoji39][emoji39] leo mtu sjui atarudije ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wangu leo sirudi tutaonana jumatatu jion
 
🎤📢📢📢WANANCHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!! ☹☹dah wapo kimy
 
Kelele kibao kama debe tupu.....

Wazee wa byuti byuti nasubiria connection maana ndio kazi mnazoziweza....
 
Aiseeh, yule Bigirimana na Lomalisa mmepigwa.[emoji23]
 
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
 
Yaani haka katimu Kayanga kanapenda kujiweka sawa na Simba ona sasa kametobolewa leo
 
Labda watabadirika ligi ikianza. Ila kimataifa bado sana
 
Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!

Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.

Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…