Hata yule Aziza ufunguo kapoteana hamna kitu mule.Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.
Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
Wewe acha utoto kwani uoni pasi za bigirimana na lomalisa mashabiki wa simba bwana wanataka kuanza propaganda subirini ngao ya jamii ndo mtajua tumepigwa au kupigaTukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.
Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
Mmepigwa ngapi mkuu😜😜😜Dah haya bana , najua unatucheka tuu
Wewe acha utoto kwani uoni pasi za bigirimana na lomalisa mashabiki wa simba bwana wanataka kuanza propaganda subirini ngao ya jamii ndo mtajua tumepigwa au kupiga
Fainali champions League? 😃😃😃acha upumbavu wewe, lengo la mwaka huu ni kufika fainali champions league
Kumbe wee mwana yangaDah haya bana , najua unatucheka tuu
Wamepigwa kona goli🤣🤣🤣🤣Mmepigwa ngapi mkuu😜😜😜
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jfProfesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.
Inakuwaje hawa wachezaji wa Yanga wamevaa jezi mbili tofauti?Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini MkapaYanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Wiki ya Mwananchi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Agosti 6, 2022.
==============================
Licha ya kuwatumia wachezaji wake wapya katika mchezo huo, wakiwemo; Aziz Ki, Gael Bigirimana, Joyce Lomalisa na Bernard Morrison bado mambo yalikuwa magumu kwa Yanga katika mchezo huo.
Ni mhaya wa kanyigo huyo
Ametunza bikra yake mwaka mzima anakuja kutolewa bikra kwenye bonanzaDak 90 Yanga 0-2 Vipers
😂😂😂😂 wamechakatwa .?Wamepigwa kona goli🤣🤣🤣🤣