FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Mtu kapigwa KO huko ndio Mnakuwa nae..unategemea nini
 
Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.

Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
Hata yule Aziza ufunguo kapoteana hamna kitu mule.
 
Tukiamua kuuongea uhalisia, mnahitaji nguvu kubwa ili kusuka team ambayo mnaifikiria kwenye vichwa vyenu, hii team haiwezi kuwapa matokeo mazuri huko kimataifa. Vipers (team iliyojaa waganda) hauwezi kuiita team ndogo.

Kuna uwezekano mkubwa Lomalisa na Bigirimana mkawa mmepigwa, ngoja tuwape muda tuone.
Wewe acha utoto kwani uoni pasi za bigirimana na lomalisa mashabiki wa simba bwana wanataka kuanza propaganda subirini ngao ya jamii ndo mtajua tumepigwa au kupiga
 
Hapo Sasa
IMG-20220806-WA0011.jpg
IMG-20220806-WA0009.jpg
 
Najua Yanga mmesononeka sana ila kwa mtu anayejua mpira Yanga wame improve sana ,ana uwanja mkubwa wa machaguzi hata mpira walio ucheza leo ni mzuri sana ila siku zote hata upossess kwa 100% mpira magori. Ila hii ni pre season kuna kitu naona kitakuwa funzo kwenu,ila leo nilikiwa nataka kumuona yule mrundi na Ki Aziz jamaa wapo vizuri sana.

Yote kwa yote mpira magoli. Ila yote kwa yote tuwekexe kwenye soka la vijana,hawa waganda moja wanajua kukaba na ku-absorb pressure na wanajua kutumia nafasi chache haya ndio matunda ya mifumo yao mizuri waliokuwa nayo kwao kujifunza mpira darasani tokea wadogo na mbinu mbalimbali kutokana na mazingira ambayo humrahisishia kocha kuplan.
 
Wewe acha utoto kwani uoni pasi za bigirimana na lomalisa mashabiki wa simba bwana wanataka kuanza propaganda subirini ngao ya jamii ndo mtajua tumepigwa au kupiga

Nikajua unasifia magoli kumbe pasi....

Hata mwanangu Jr huwa anajua kupiga pasi nguo zake....
 
Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.

Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!

Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!

All in all, timu bado ni mzuri.
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
 
Kinachojili katika kilele cha week ya Wananchi 2022 uwanja wa Benjamini Mkapa

==============================
Yanga imepoteza wa magoli 2-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Wiki ya Mwananchi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Agosti 6, 2022.

Licha ya kuwatumia wachezaji wake wapya katika mchezo huo, wakiwemo; Aziz Ki, Gael Bigirimana, Joyce Lomalisa na Bernard Morrison bado mambo yalikuwa magumu kwa Yanga katika mchezo huo.
Inakuwaje hawa wachezaji wa Yanga wamevaa jezi mbili tofauti?
 
Hii ni aibu ya Taifa. Mama Samia uko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom