FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

Leo tumefocus na kucheza soka la kuvutia tukasahau kutengeneza nafasi za magoli, ila sio mbaya improvements ni meziona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmwbondwa huko tutoleee kilio sie hapa.

Byuti byuti
 
Huyu jamaa wa EPL Newcastle naye boya tu mmepigwa tena[emoji1][emoji1][emoji1]
Mgonjwa wa ini, wamsamehe tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema kuna Fei, yule mtoto nuski ooh ni nuksi

Yani hii mechi angekuwepo angepiga yale mashuti yake ya robo fainali ya FA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiii hapa.
 
Kituko nilichokiona kwenye mechi hii leo ni kipa kutoka mapumziko mpaka kuumia tena peke yake.Ina maana madaktari walisahau kumfanyia checkup wakati mapumziko!!
 
Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!

Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
Vipi mkuu walibalisha mechi Hawa viumbe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuambia usianze kulia mapema, wee kunywa maji mengi, ili machozi yajae jae.

Muda bado wa wee kulia, utalia hadi kwikwi. Ushindwee wee na utachagua kugumia au kutoa kelele.

Byuti byuti.
 
Yani nna furaha kinyama[emoji23][emoji23][emoji23] kama nlijua nkajipikia kapilau kangu[emoji39][emoji39][emoji39] leo mtu sjui atarudije ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost nawee ni lunyasi??
Woyooooooh
 
Ha ha ha ha unajipooza machungu ila moyoni unagugumia maumivu, wote mlitegemea mtashinda ila ndiyo hivyo tena hivi vicomment ni kujifariji
 
Mhhh mkuu
Lomalisa???
Bigrimana????

Kwanzia dakika ta 83 kiungo cha yanga kilikua non existent
 
Kipa wenu ni mfupi
 
Mwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
Mlongo eti unasema nn? Au hujakutana nae akivurugwa??? Yaan huyu Tate ana busara na hekima? Mie nakojoaaaaaaaaah

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
anaogopa jinsi alivyotia aibu nchi,serikali na chama kwa ujumla[emoji125][emoji125][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaaa.
 
Sisi tulichukulia poa mechi jamaa waka kaza ,
 
Mwamnyeto ndo beki wa kuwa ktk CAFCL?? hauko serious, useme Job labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…