cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaaaa!!!!Morrison nayo gundu tu hiyoo
Mbna ghafla sana?????? Uwiiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaaaa!!!!Morrison nayo gundu tu hiyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmwbondwa huko tutoleee kilio sie hapa.Leo tumefocus na kucheza soka la kuvutia tukasahau kutengeneza nafasi za magoli, ila sio mbaya improvements ni meziona.
Upo titi??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muda Bado,game changers tunao,ni suala la muda tu.
Watu weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Mgonjwa wa ini, wamsamehe tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa wa EPL Newcastle naye boya tu mmepigwa tena[emoji1][emoji1][emoji1]
Vip mmeshinda au still your going??Wahuni wamevamia uzi!!?
We are going to win thin match fairly and squarely
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chiziiiii hapa.Sema kuna Fei, yule mtoto nuski ooh ni nuksi
Yani hii mechi angekuwepo angepiga yale mashuti yake ya robo fainali ya FA
Vipi mkuu walibalisha mechi Hawa viumbe?Nje bado kuna majembe mengi sana yakisubiria tu kuja kubadili upepo. Mayele, Morrison, Aziz Kii, Lomalisa, Kambole, Bigirimana!
Naamini kocha amewaacha nje kwa makusudi kabisa. Hawa Vipers ni wepesi sana kwa timu ya Wananchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuambia usianze kulia mapema, wee kunywa maji mengi, ili machozi yajae jae.Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost nawee ni lunyasi??Yani nna furaha kinyama[emoji23][emoji23][emoji23] kama nlijua nkajipikia kapilau kangu[emoji39][emoji39][emoji39] leo mtu sjui atarudije ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha unajipooza machungu ila moyoni unagugumia maumivu, wote mlitegemea mtashinda ila ndiyo hivyo tena hivi vicomment ni kujifarijiWe jamaa uko na akili sawa sawa kweli?? Yaan Yanga walinunua mechi zipi hizo pamoja na za Simba zote 4 mlizokutana??
Binafsi leo nilitaka kuangalia zaidi maingizo mapya kama yako sawa au la, na niseme wazi Yanga imeimarika sana, tena sana tu.
BIGIRIMANA 8/10 amepiga pasi za uhakika nyingi, anatulia, nguvu na ball control nzuri. Kwa nafasi yake ya kiungo, naona katikati patakuwa na mchuano mkubwa sana. Naona wazi Mwamnyeto akilizoea benchi taratibu sambamba na Sure boy na nafasi zao zikitawaliwa na BANGALA NA BIGIRIMANA.
AZIZ KI 8/10 Jamaa ana nguvu, ball control, speed na macho makali mno, kwa nafasi yake na kwa nilivyomuona Feisal akiwa mzito kuendana na kasi ya KI itakuwa ngumu mno kucheza pamoja, kama KI ataanza basi namba 10 asimame KAMBOLE mwenye Speed na mikimbio yenye kuhisi pasi kutoka kwa kiungo wake. KI atokee kulia na MOLOKO benchi linamuhusu vizuri sana.
LOMALISA 8/10 Hatimaye tumeweza kuwa na beki 3 bora kwa miaka ya karibuni kwa tuliomuona MARCELO basi tunasema hapa Yanga wamepata mtu, mtulivu, mwenye speed, pasi sahihi na hata nguvu ya Kubattle.
MORRISON 5/10 Hajacheza vizuri leo, ingawa ni mchezaji machachari na mjanja sana, inatakiwa sasa mtu kama Mayele na Feisal wawe sharp sana kusoma akili na mikimbio ya huyu jamaa. Welldone boys.
KWA NILIVYOINGALIA YANGA LEO HII, NAWEZA KUSEMA KIKOSI CHA KWANZA CHA MSIMU UJAO KITAKUWA IFUATAVYO.
Hii ni kwa CAF
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BANGALA
5. MWAMNYETO
6. BIGIRIMANA
7. KI AZIZ
8. AUCHO
9. MAYELE
10. FEISAL
11. MORRISON
Kwenye Ligi Kuu naona kuna nafasi zaidi kwa SURE BOY, JOB, KIBWANA, MOLOKO nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kapigwa mpaka domo limevimba
Mhhh mkuuWe jamaa uko na akili sawa sawa kweli?? Yaan Yanga walinunua mechi zipi hizo pamoja na za Simba zote 4 mlizokutana??
Binafsi leo nilitaka kuangalia zaidi maingizo mapya kama yako sawa au la, na niseme wazi Yanga imeimarika sana, tena sana tu.
BIGIRIMANA 8/10 amepiga pasi za uhakika nyingi, anatulia, nguvu na ball control nzuri. Kwa nafasi yake ya kiungo, naona katikati patakuwa na mchuano mkubwa sana. Naona wazi Mwamnyeto akilizoea benchi taratibu sambamba na Sure boy na nafasi zao zikitawaliwa na BANGALA NA BIGIRIMANA.
AZIZ KI 8/10 Jamaa ana nguvu, ball control, speed na macho makali mno, kwa nafasi yake na kwa nilivyomuona Feisal akiwa mzito kuendana na kasi ya KI itakuwa ngumu mno kucheza pamoja, kama KI ataanza basi namba 10 asimame KAMBOLE mwenye Speed na mikimbio yenye kuhisi pasi kutoka kwa kiungo wake. KI atokee kulia na MOLOKO benchi linamuhusu vizuri sana.
LOMALISA 8/10 Hatimaye tumeweza kuwa na beki 3 bora kwa miaka ya karibuni kwa tuliomuona MARCELO basi tunasema hapa Yanga wamepata mtu, mtulivu, mwenye speed, pasi sahihi na hata nguvu ya Kubattle.
MORRISON 5/10 Hajacheza vizuri leo, ingawa ni mchezaji machachari na mjanja sana, inatakiwa sasa mtu kama Mayele na Feisal wawe sharp sana kusoma akili na mikimbio ya huyu jamaa. Welldone boys.
KWA NILIVYOINGALIA YANGA LEO HII, NAWEZA KUSEMA KIKOSI CHA KWANZA CHA MSIMU UJAO KITAKUWA IFUATAVYO.
Hii ni kwa CAF
1. DIARRA
2. DJUMA
3. LOMALISA
4. BANGALA
5. MWAMNYETO
6. BIGIRIMANA
7. KI AZIZ
8. AUCHO
9. MAYELE
10. FEISAL
11. MORRISON
Kwenye Ligi Kuu naona kuna nafasi zaidi kwa SURE BOY, JOB, KIBWANA, MOLOKO nk.
Kipa wenu ni mfupiProfesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.
Mlongo eti unasema nn? Au hujakutana nae akivurugwa??? Yaan huyu Tate ana busara na hekima? Mie nakojoaaaaaaaaahMwanayanga mwenye hekima na busara na mwenye akili jf nzima ni wewe ,na Kikwete na mzee manara nje ya jf
Una hekima Sana broo...haunaga mihemko weye!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sanaaa.anaogopa jinsi alivyotia aibu nchi,serikali na chama kwa ujumla[emoji125][emoji125][emoji23]
Sisi tulichukulia poa mechi jamaa waka kaza ,Profesa naye aliidharau sana hii mechi! By the way, it is a friend match. Bado kuna muda wa kujipanga na pia kurekebisha makosa.
Leo tukubali tu matokeo. Boko la Juma Shaban dakika ya kwanza tu, nalo limechangia kuiondoa timu mchezoni!
Screen Protector naye amekubali kufungwa goli la kizembe!
All in all, timu bado ni mzuri.
Mwamnyeto ndo beki wa kuwa ktk CAFCL?? hauko serious, useme Job labdaWe jamaa uko na akili sawa sawa kweli?? Yaan Yanga walinunua mechi zipi hizo pamoja na za Simba zote 4 mlizokutana??