FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Ni moja ya timu zenye safu butu sana ya ushambuliaji, wanayo hali ngumu awana kabisa mshambuliaji
 
Mpira umeisha

Simba SC WIN

Vipers 0-1 Simba SC
FT
20' InOnga Baka

Game Over!
 
Japo sio simba yangu hii ninayoifaham kazi ya kufanya ipo
 
Mpira unekwishaaa,Mungu ni Mwema sana! FT:Simba 1-0 Vipers.Simba Nguvu moja!
209cd075d4331ae2df1f1419503c148e.jpg
 
Back
Top Bottom