FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Oh poa... Kundi hili inawezekana ndilo gumu Kuliko Makundi yote CL Na Confederation Mwaka huu..!
Kundi linaongoza kwa ugumu ni A
IMG_20230226_000532.jpg
 
Bingwa Wa CL Mwaka huu atatokea Kundi C..!

Kundi C La CL ndo Kundi La Kifo..!
 
Mimi nimewaza tu....!

Nikijiuliza,Mr Msukule kaumia Kwa Ushindi huu kama Utopolo Wengine....,?
Mwenye jibu anaweza kushare!
Msukule kimoyo moyo kafurahi kwani yule ni Simba lia lia hapo uto anapiga hela tu,na hata akilewaga mavitu yake anasema hana imput yoyote anaweka pale ila anachofanya ni kuwakera wana Simba wenzake ili wamfurushe Mo hilo ndiyo lipo akilini kwake na kiasi ni kama anaanza kufanikisha lengo lake. Babra kesha ondoka sasa second phase ni Mo na Mangungu na jungu liko jikoni linatokota mdogo mdogo.
 
Mimi nimewaza tu....!

Nikijiuliza,Mr Msukule kaumia Kwa Ushindi huu kama Utopolo Wengine....,?
Mwenye jibu anaweza kushare!
Mbumbumbu uwa mnajitoa ufahamu sana, Wengine wana timu nyie mna waganga wa kienyeji na wazee ni nani mwenye akili timamu aumizwe na matokeo ya papatu papatu kama vile? Pipa na mfuniko vikikutana ndio kama vile
 
Umeumia!! Ukikumbuka walikupiga kwenye siku yako tena chumbani kwako.
 
Naomba kujua age ya kila mchezaji wa Simba aliyecheza jana pamoja na substitutes na achievements wa coaches wao ie Mbrazil na Mgunda.
 
Back
Top Bottom