Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni kwa ushindi. Vijana wamepambana mwanzo mwisho. I wish na wananchi kesho nao watapambana kama nyinyi.Ushindi ndio unahitajika, sare bado ni kimeo tu.
Raja kushinda kwa mechi leo inaweza kuwapunguzia presha kuelekea mechi yao ya marudiano kwasababu Raja wataitaji point moja tu ili wamalize kazi na wakiangalia bado wana gemu nyingi mbele. Mechi ya marudiano Horoya wakikomaa wanaweza wakaambulia point tatu au moja dhidi ya Raja.Leo Horoya afe ili turekebishe msimamo wa kundi mechi ijayo na vipers Dar!
"hizohizo" na hapo kacheza mechi moja?Hakika,haya
Hizohizo alizocheza hana hata alama moja
Sure. Horoya anaweza chukua point (s) kwa Raja kule Guinea.Raja kushinda kwa mechi leo inaweza kuwapunguzia presha kuelekea mechi yao ya marudiano kwasababu Raja wataitaji point moja tu ili wamalize kazi na wakiangalia bado wana gemu nyingi mbele. Mechi ya marudiano Horoya wakikomaa wanaweza wakaambulia point tatu au moja dhidi ya Raja.
Inaweza ikawa kila mtu ashinde kwake halafu jioni mahesabu.DK Ya 70 hapa....
Horoya Bado Wapo nyuma Kwa Bao Moja...
Unaambiwa Muda huu...Muda huu..! hapa Kibanda Umiza Utopolo Wanaomba Horoya Asawazishe...!
Nye Utopolo... Nyie si Wageni Kwenye Michuano Ya Kimataifa..? Acheni Mnyama awaelekeze Jinsi Ya Kukatiza..!
Hataweza kwasababu ya aina ya mpira wa raja ..raja ukijiroga ufunguke umeisha ndio kilituponza simba sasa hawa horoya wamejitahidi kukaba sasa kwao watakaba pia?? Ndio swali hilo..Sure. Horoya anaweza chukua point (s) kwa Raja kule Guinea.
Dakika ya 88Al Ahly anaongoza bao 2-1
Ila Mamelody nawaona ni bora zaidi kuliko Al Ahly
[emoji38]Wana balaa sio dogo90'. Raja 2. Horoya. 0
Kukaba ni njia nzuri ya kucheza na aliyekuzidi ubora. Kwanza unabidi umpe heshima yake kwa kucheza kimbinu zaidi, atawale mchezo ila asiwe na madhara kisha kucheza counter attack. Msimu uliopita walikuwa kundi moja na Horoya alishindia kwao pia. Chochote kinaweza kutokea. Baada ya Simba kufungwa goli tatu tena Dar na vipers kula tano je ni nani alitegemea Horoya kufungwa kwa tabu hivyo away?Hataweza kwasababu ya aina ya mpira wa raja ..raja ukijiroga ufunguke umeisha ndio kilituponza simba sasa hawa horoya wamejitahidi kukaba sasa kwao watakaba pia?? Ndio swali hilo..