FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Waganda huwa hawana mchezo pale kwao. Ushauri wangu ni kuwa Simba ipaki tu bus kupunguzwa idadi ya magoli

Pilipili FC leo wataishia kulialia tena, kama ilivyo kawaida yao. 😁

Vipers kama kawaida yenu piga hao thimba bao 2 tu zinatosha waendelee kuburuza mkia

Simba anapigwa 3 kavu

Kila la kheri Viper's 🐍🐍
Kitambo tu mi najua kuwa maneno sio mkuki, japo wanaoyaunda mpaka yanakuwa ka' bunduki
 
Simba nguvu moja,mchezo huu ulikuwa wakuamua kubaki kwenye mashindano ama la sasa mnyama kaamua bado yupo yupo tusubiri atakavyowatafuna watu kwa mkapa.
 
Horoya hana game ya kushinda sasa.Leo anapigwa na Raja then anapigwa game ijayo tena na Raja huko kwake na hatakuwa na uwezo wa kuwafunga Vipers kabisa.


Simba tunampiga Vipers kimoja ten next week
Sio rahisi raja kushinda kule Guinea.
 
Sasahivi Mikia wanaogopa hadi kuanzisha Uzi mechi zao[emoji23][emoji23] yaani wamenywea haswa. Ilikuwa saa 6 usiku wanaanziaha Uzi za live updates

Uganda ni ndugu zetu wa damu. Kila la kheri waganda.. Ushindi wa bao 3-0 utapendeza zaidi

Tujiandae kwa aibu nyingine

Bado masaa machache tuanzw kusikia hizi kauli

"Hamna kocha humo"

"Mo tapeli tu"

"Bocco Mzee anarogq wenzake"

" Mgunda alikua kashaipatia timu mzungu anaharibu"

"Hongera kwa wale wanaoihujumu timu"

" Mangungu anatakiwa aachie uongozi"

" Manula nae kiwango kimeshuka"

" Hawa jamaa kwa mkapa wakija hawatoki"

" Chama hatakiwi kucheza winga anatakiwa acheze kati pale"

" Sawadogo tumepigwa"

" Kwanini tumemuacha mkude dar"

" Sakho anarukarukq tu"

" Kocha ampe nafasi Kibu Dee"
Waliobeza hawaonekani jamvini kama wako sello, hawatakiwi na jamii kama kero

Wamechakaa haraka kama noti ya jero
 
Pawasa anatoa Maoni kwamba Makocha wamefanya substitute nzuri Kumuingiza Nyoni Ameituliza timu.
Sawa ila Saido alitakiwa atoke mapema ili at least kuleta pressure pale mbele. Una dakika zaidi ya 30 zimebaki haubakishi mfungaji hata mmoja pale mbele.
 
Back
Top Bottom