vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Horoya walikuwa ugeniniNinachokiona Hapa....Raja imeundwa na Vijana Wadogo Wadogo na pia ni Wepesi sana..!
Horoya hapo Wapo Kwao ni kama Wanautafuta Mpira..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Horoya walikuwa ugeniniNinachokiona Hapa....Raja imeundwa na Vijana Wadogo Wadogo na pia ni Wepesi sana..!
Horoya hapo Wapo Kwao ni kama Wanautafuta Mpira..!
Oh poa... Kundi hili inawezekana ndilo gumu Kuliko Makundi yote CL Na Confederation Mwaka huu..!Horoya walikuwa ugenini
Ugumu unatoka wapi wakati Raja kaishapitaOh poa... Kundi hili inawezekana ndilo gumu Kuliko Makundi yote CL Na Confederation Mwaka huu..!
Hili ndio kundi jepesi sana team sio ngumu hizo group nyingine sio masikhara kunawaka moto.Oh poa... Kundi hili inawezekana ndilo gumu Kuliko Makundi yote CL Na Confederation Mwaka huu..!
Still you stand on this?Vipers 3-0 Mikia Niko paleeeee
Kundi linaongoza kwa ugumu ni AOh poa... Kundi hili inawezekana ndilo gumu Kuliko Makundi yote CL Na Confederation Mwaka huu..!
Sisi mpira bado sana labda kocha asajili wachezaji kutoka Brazil..Kuna game ya Mamelod na Al ahly aisee ilikuwa ya moto umepigwa mpira ka ulaya
Umelewa weweBingwa Wa CL Mwaka huu atatokea Kundi C..!
Kundi C La CL ndo Kundi La Kifo..!
Msukule kimoyo moyo kafurahi kwani yule ni Simba lia lia hapo uto anapiga hela tu,na hata akilewaga mavitu yake anasema hana imput yoyote anaweka pale ila anachofanya ni kuwakera wana Simba wenzake ili wamfurushe Mo hilo ndiyo lipo akilini kwake na kiasi ni kama anaanza kufanikisha lengo lake. Babra kesha ondoka sasa second phase ni Mo na Mangungu na jungu liko jikoni linatokota mdogo mdogo.Mimi nimewaza tu....!
Nikijiuliza,Mr Msukule kaumia Kwa Ushindi huu kama Utopolo Wengine....,?
Mwenye jibu anaweza kushare!
Mbumbumbu uwa mnajitoa ufahamu sana, Wengine wana timu nyie mna waganga wa kienyeji na wazee ni nani mwenye akili timamu aumizwe na matokeo ya papatu papatu kama vile? Pipa na mfuniko vikikutana ndio kama vileMimi nimewaza tu....!
Nikijiuliza,Mr Msukule kaumia Kwa Ushindi huu kama Utopolo Wengine....,?
Mwenye jibu anaweza kushare!
Umeumia!! Ukikumbuka walikupiga kwenye siku yako tena chumbani kwako.Mbumbumbu uwa mnajitoa ufahamu sana, Wengine wana timu nyie mna waganga wa kienyeji na wazee ni nani mwenye akili timamu aumizwe na matokeo ya papatu papatu kama vile? Pipa na mfuniko vikikutana ndio kama vile
Hahaha...Kitambo tu mi najua kuwa maneno sio mkuki, japo wanaoyaunda mpaka yanakuwa ka' bunduki