FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Simba muda wote mpira uko kwa mabeki. Naiona simba ikifungwa tena leo
 
Huu utaratibu wa kumchezesha chama Pembeni ni Wakipuuzi kwasababu Saido ni Mchoyo na Anawaza kufunga yeye tuuu lakini chama Huwa anawaza Ku assist Huyu Kocha Asitake ku force mambo
 
Huu utaratibu wa kumchezesha chama Pembeni ni Wakipuuzi kwasababu Saido ni Mchoyo na Anawaza kufunga yeye tuuu lakini chama Huwa anawaza Ku assist Huyu Kocha Asitake ku force mambo
Kabisa...
Nimeaangia mechi 3 kubwa... SAIDOO hajawa na IMPACT
 
Hata last week.Mwenye link atusaidie tafadhali
Muda mchache kabla ya mechi nlikuwa naangalia uchambuzi

Nilipo exit nikarudi muda wa game kuanza ikawa hai respond, na saizi ndio wameitoa haipo hata kwenye list
1677109068555.png

Ngoja nitafute kama kuna link yeyote inaonesha
 
Back
Top Bottom