BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Mkuu siku zote unakuwa mbali na TV?Muda mchache kabla ya mechi nlikuwa naangalia uchambuzi
Nilipo exit nikarudi muda wa game kuanza ikawa hai respond, na saizi ndio wameitoa haipo hata kwenye list
View attachment 2529807
Ngoja nitafute kama kuna link yeyote inaonesha