Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mbwa hawa hata kwenye mechi ya Horoya walifanya hivi hivi wakaja kuachia baada ya half timeAzam app yao why hawaja iweka ZBC ,wanatukosesha raha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa hawa hata kwenye mechi ya Horoya walifanya hivi hivi wakaja kuachia baada ya half timeAzam app yao why hawaja iweka ZBC ,wanatukosesha raha.
Yes mpaka googleHii app sijaiona app store au ni un official mpaka google?
Nokoleero empologoma zigenda kukubwa nnyo
Wazee waheshimiweNikiwaza Kuna babu onyango nyuma naishiwa nguvu kabisa
Ila all the best; nguvu mmoja
Hapana nazungumzia kero ya Azam Max kwa ambao tuna stream mpira kwa njia ya devices kama simu au PcKwanini Mkuu sijakuelewa
Fafanua Kaka…
kwani Leo Simba anacheza na Vipers?
Au Kwa kumkazia Simba halafu analegezea kwa wengine???
najitesa vp mkuu, mwenyewe waangalia mpira kwa pressure maana unakimbizwa tuWewe peke yako ndio unajitesa kuhangaika hapa, wenzio wamejificha[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
Hata mm nimekuta YACINE TV tu au ndio hiyoHii app sijaiona app store au ni un official mpaka google?
Nope, hiyo ni slipNa Mohammed Hussein leo ameshapanick mapema. Atachomesha soon
Hapana sio mbovu mm naona mfumo wa simba umebadilika wachezaji wanastrugle sana hawajazoea huu mfumo mpya wa huyu coach.Hili goli linarudi sio muda mrefu. Mzamiru amerudi kwenye zile na Mohammed Hussein na Chama leo wanazingua. Ol in ol, Simba hii ni mbovu kuliko Simba zote tangu 1990
Timu iko away hebu punguza lawama, mnakata tamaa mapema sana, kulinda goli sio kosa, inaweza pigwa counter hapo any second likapatikana la pili.Simba ina shida kubwa kwenye uchezaji wake. Wachezaji hawaoneshi hata professional ball yoyote.
Kuna kitu nimeona 🙈🙈🙈🙈 Mshana Jr