FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Yes mpaka google
Logo yake ndio hii?
1677110174501.png
 
Hili goli linarudi sio muda mrefu. Mzamiru amerudi kwenye zile na Mohammed Hussein na Chama leo wanazingua. Ol in ol, Simba hii ni mbovu kuliko Simba zote tangu 1990
 
Kwanini Mkuu sijakuelewa
Fafanua Kaka…
kwani Leo Simba anacheza na Vipers?
Au Kwa kumkazia Simba halafu analegezea kwa wengine???
Hapana nazungumzia kero ya Azam Max kwa ambao tuna stream mpira kwa njia ya devices kama simu au Pc

Wamekata servers kwenye channel ya ZBC2
 
Hili goli linarudi sio muda mrefu. Mzamiru amerudi kwenye zile na Mohammed Hussein na Chama leo wanazingua. Ol in ol, Simba hii ni mbovu kuliko Simba zote tangu 1990
Hapana sio mbovu mm naona mfumo wa simba umebadilika wachezaji wanastrugle sana hawajazoea huu mfumo mpya wa huyu coach.

Ila kwa hii match alafu simba wangecheza mfumo wao ule wa mgunda wangeshinda goli nyingi..
 
Simba ina shida kubwa kwenye uchezaji wake. Wachezaji hawaoneshi hata professional ball yoyote.
Timu iko away hebu punguza lawama, mnakata tamaa mapema sana, kulinda goli sio kosa, inaweza pigwa counter hapo any second likapatikana la pili.
 
Back
Top Bottom