FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Hapana sio mbovu mm naona mfumo wa simba umebadilika wachezaji wanastrugle sana hawajazoea huu mfumo mpya wa huyu coach.

Ila kwa hii match alafu simba wangecheza mfumo wao ule wa mgunda wangeshinda goli nyingi..
Hata kutuliza mpira nako kunahitaji mfumo?? Au kujua wapi upige pasi wapi, wapi uweke kifuani wapi upige kichwa, wapi uruke, wapi ukabe ni mambo ya mfumo? Basi huo mfumo unaotafutwa ni wa hovyo sana
 
Vipers hatujakata tamaa, St. Mary's anatoka mtu ila watalala kwa viatu...

#Lolote limaweza kutokea...
 
Hivi huu ujinga unanitokeaga mimi tu ama na wenzangu hivi hivi?
JF siku hizi imekuwa kama Makolo vile..
Screenshot_2023-02-25-19-43-54.png
 
45+2"
IBRAHIM ORIT ANAINGIA KUCHUKUA NAFASI YA KARISA MILTON ALIYETOKA
 
Back
Top Bottom