FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

nichague ipi hapa?

screenshot-of-yacine-tv-app.jpg
Ungia hapo walipoandika live events kuna games zote zitazoomeshwa pamoja na ya simba ipo. Scrolldown utaiona game ya simba
 
Simba wajitahidi kukomaa hadi dakika 90 waondoke na alama tatu, hawa Vipers kama watapata sare leo inaweza ikafanya mechi ya marudiano ikawa ngumu sana kwa Simba. Jamaa wana kasi sana kinachowangusha ni ubutu tu wa washambuliaji wao. Hivyo Simba waanzie huku huku kuwakata matumaini
 
Simba haichezi mpira wa kimashindano kabisa.
Yaani km wanacheza na ihefu fc..

Isee wachezaji wanatuvunja moyo washabikii lile pira birianii limepotelea wapi?
 
Simba haichezi mpira wa kimashindano kabisa.
Yaani km wanacheza na ihefu fc..

Isee wachezaji wanatuvunja moyo washabikii lile pira birianii limepotelea wapi?
Unataka point au mabiriani
 
Back
Top Bottom