Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulinda zaidiNyoni ambadili Phiri? hii imekaaje?
Goli moja???Kulinda zaidi
Usikariri, Messi ana 35 na Luka Modric ana 37Tobaaaaaaa, hao vipers average age ni below 25, wanamuingiza Nyoni tena???
Huwezi jua huenda ni makuli😅😅Simba hii mbovu Sana japo ina wachezaji wazuri tu. Yaani ni mbovu utadhani wachezaji wana majukumu mengine ya kubeba magunia Kariakoo.
Unachezaji kujilinda wakti game nyeupe kushinda nyingi.Kulinda zaidi
Yeah... It's riskyGoli moja???
Nyoni ana mingapi 🤣?Usikariri, Messi ana 35
34Nyoni ana mingapi 🤣?
Huna uhakika sheikhMgunda anampoteza Kocha
Wachawi wanaanzaga ivi