Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Eti huo nao ni ushauri! Mna maneno nyie watuUshauri : pengine ni muda muafaka kwa simba queen kucheza mechi zilizobaki
Ya sembeRobo ipi? Ya sembe au mchele?
Kwa team ipi? Saidoo mzee? Chama lege lege hata shoga wa kishua ana nguvu, kibu akili kisoda minguvu mingi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan li team limekosa hata maelewano, khaaaah.
Kesho waongeaji ni nyie utulivu hauwezi kupatikanaAsante Mungu wangeongea sana hawa mbumbumbu, kesho itakua siku tulivu
Em kalale na wee, mfyuuuhYa sembe
Niende wapi jamaniTokaaaa hapa,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kapumzishe kende hizo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niende wapi jamani
Sina usingizi nipo narudia mpira WA simba hapaEm kalale na wee, mfyuuuh
Tulizanaa basSina usingizi nipo narudia mpira WA simba hapa
Hili ndo lile Jina la yule jamaa aliyeshinda goli dakika za jionii๐คฃKapumzishe kende hizo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe my๐คฃ๐คฃTulizanaa bas
Wimbo uendeleeeeVipi tuendelee na ule wimbo wa mechi 3 point 2[emoji28]
๐๐คฃNilikuwa nawasapoti siku zote ila mlinikera sana kuwashangilia Ahly