FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Robo ipi? Ya sembe au mchele?

Kwa team ipi? Saidoo mzee? Chama lege lege hata shoga wa kishua ana nguvu, kibu akili kisoda minguvu mingi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan li team limekosa hata maelewano, khaaaah.
Tunaishabikia tu Simba kwa vile ipo damuni lakini ina wachezaji wa hovyo, Simba inatakiwa ifanye maamuzi magumu iachane na wachezaji wengi
Wachezaji ambao wanafaa ni Makipa wote, Kibu, Shabalala,Mzamiri, Kanuti ,Inonga,Shamalone, Ngoma ,takataka zingine ni za kutimua labda wa ndani tu wenye umri mdogo wale wazee kina kapombe na bocco nikuwatimua.

Simba wa hovyo sana kwenye usajili,huwezi kusema umeleta wachezaji maprofessional halafu ndo hao kina Onana, They are offering nothing!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robo ipi? Ya sembe au mchele?

Kwa team ipi? Saidoo mzee? Chama lege lege hata shoga wa kishua ana nguvu, kibu akili kisoda minguvu mingi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan li team limekosa hata maelewano, khaaaah.
Akiba ya maneno inahitajika hii Ligi bado inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…