FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Simba sports club.... When it comes to champions league I always feel at home.
 
Utopolo Wa hapa Jukwaani jinsi Wanavyochangia Wananikumbusha Miaka Ile Walivyokuwa Wanaenda Airport na Maandamano Kuwapokea Timu pinzani za Simba Kimataifa...!

Ukweli Utopolo wanayo Mengi ya Kujifunza, Wakiwa Watulivu taratibu Wataelewa nini Maana ya CAF Champions League na CAF CC...Yaani ni Vitu Viwili tofauti Kbs...!
 
Kuna mdau jana alitushtua kuhusu channel ya Startimes jana na tukaona mpira. Natamani na Leo atushtue pia
 
Caf confederation cup ile ni umitashumta ya watu wazima
 
Kimataifa Simba Sc n Bora
Nawatakia uvumiliv wachezaji wa Timu ya Simba Sc
Ushindi,
Ikishindikana sare, na ikishindikana apoteze kwa ushindi mwwmbamba.
 
Simba leo ajichanganye mwenyewe.mtoto wydad unajipigia tu
 
Kwenye hii michuano hadi sasa.
Yanga, Simba na Wydad ndio vilabu pekee ambavyo havijashinda game hata moja.
 
Makolo kwa kujifariji tu hatuwawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…