Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Umekosea kutype auWakuu hii mechi ya Jwaneng vs Galaxy ni hall time.
Bado 0-0
Naona wakitoa draw ni matokeo mazuri kwetu hata tukitoa draw na Wydad
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea kutype auWakuu hii mechi ya Jwaneng vs Galaxy ni hall time.
Bado 0-0
Naona wakitoa draw ni matokeo mazuri kwetu hata tukitoa draw na Wydad
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakosea , i mean Jwaneng vs Asec ikiwa drawUmekosea kutype au
Mapema tu simba anachapika mkuu.Mashabiki wa Wydad tukutano jukwaa kubwa, biashara ni asubuhi. Kolowizad apate kipigo cha mbwa koko.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Asec ameshatangulia kupata goliSijakosea , i mean Jwaneng vs Asec ikiwa draw
Wydad vs Simba baadaye nayo ikawa draw .
Je uwezekano wa simba kufuzu upoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani swala la muda wa mechi kuchezwa limeamuriwa lini.? Mzunguko huu bado sio wa kuamua nani aende nani abaki, hivi hakuna ulazima wa mechi zote kuchezwa muda mmoja.Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
Akishinda leo basi Asec Mimosas ni lazima apenye, inabaki nafasi nyingine ambayo ndio itagombaniwa na team zilizobaki.Asec ameshatangulia kupata goli
Mnapenda kurahisha sana, Madeama si mlimuita kibonde na Belouzdad mkasema anaimudu? Basi ajipigie aende.Sikutazama mechi ya Simba na Jwaneng, najiuliza walishindwaje kuifunga hii timu mbovu hivi. Ina maana Simba yetu imekua mbovu kiasi hicho!! Ki ukweli hili kundi angekua mtani angejipigia wote hawa.
Simba sio kama wale waliokwama mkiani wanywa supu ya mkia 😂😂Nitakuwa LIVE badae kuleta updates za kipigo kitakatifu kitakachowakuta Simba leo.
Leo utakuw mkian kama kulwaSimba sio kama wale waliokwama mkiani wanywa supu ya mkia 😂😂
Wa mkiani ni mnywa supu za mkia Uto wahed 😁 😁Leo utakuw mkian kama kulwa
Hahahahaha kama mnataka kupita lazima mmfunge Wydad kitu ambacho ni kigumu Sana