FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Nitakuwa LIVE badae kuleta updates za kipigo kitakatifu kitakachowakuta Simba leo.
 
Ambacho sijaelewa ni kwa nini mechi inachezwa muda tofauti na ule wa mechi ya Galaxy vs ASEC. Wachezaji wa Simba waingie katika hii mechi wakijua kuanzia waamuzi hadi CAF wenyewe hawako upande wao, inabidi wakaze ma tako kweli kweli.
Kwani swala la muda wa mechi kuchezwa limeamuriwa lini.? Mzunguko huu bado sio wa kuamua nani aende nani abaki, hivi hakuna ulazima wa mechi zote kuchezwa muda mmoja.
 
Asec kaongeza Huko 2-0 .
Mpaka hapo Simba ana kibarua Sana
Watajutia Sana kuzikosa Alama tatu Kwa galaxy
 
Asec ameshatangulia kupata goli
Akishinda leo basi Asec Mimosas ni lazima apenye, inabaki nafasi nyingine ambayo ndio itagombaniwa na team zilizobaki.

Sasa tujiulize ni Simba Sc, ama Wydad? Maana najua muda wa Jwaneng kutegemea fluke umekwisha.
 
Sikutazama mechi ya Simba na Jwaneng, najiuliza walishindwaje kuifunga hii timu mbovu hivi. Ina maana Simba yetu imekua mbovu kiasi hicho!! Ki ukweli hili kundi angekua mtani angejipigia wote hawa.
Mnapenda kurahisha sana, Madeama si mlimuita kibonde na Belouzdad mkasema anaimudu? Basi ajipigie aende.


Ndo yaleyale ya kusema, kama Simba Sc alikuwa anafika robo fainali, basi Yanga ataenda fainali kabisa.
 
Back
Top Bottom