FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

shukrani tunarudi kipindi cha pili



Baada ya fursa nyingi kupotea, kipindi cha pili ni lazima mtu afe..
Yaaani yaani fi lakin mina Widad mubarak, aah Simba Tanzanie inshaaAllah ... aah laalah musafik.. hakik Widad mushikili...
 
Sandaland Ze Only one....Kwa Kweli anaitendea haki Tenda yake Simba....!

Hata Jezi za Timu za Taifa zipo Byeeee
 
Kibu ameaminiwa si na makocha waliopita tu ila hata huyu wa sasa na kocha wa timu ya taifa humwita kwanini?
Hata Oliver Giroud alikuwa anaaminiwa sana na Didier Dischamps kwenye world cup, lakini ni striker mwenye mapungufu kibao ambayo hata asiyejua mpira anayaona.

Hivyo basi hata Kibu kuaminiwa haimanishi kwamba sio mbovu na hafai kuanza, pengine kwa sababu ndio option iliyopo sababu hakuna striker wa maana zaidi yake.

Halafu Mimi naongelea hasa aina ya uchezaji wake na sio kuaminiwa/kutoaminiwa.
 
Back
Top Bottom