blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Yani mlikuwa hamjui au!?Baleke hamna kitu
Tulivyowakanda 5 hakuepo!??
Acheni unaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani mlikuwa hamjui au!?Baleke hamna kitu
Akili una ww na mpira ujuiBaleke ni nchimbi aliyechangamka
Gongowaziya nne kati ya nne
Huu wimbo umeshachuja.Yani mlikuwa hamjui au!?
Tulivyowakanda 5 hakuepo!??
Acheni unaa..
Link wakuuLink ikowapi wakuu
Lukaku wenu leo kawa garasaN
Baleke ni Garasa
Endelea kutesekaNdio akili yako ilipowaza. Hii timu kabla ya kucheza leo kashinda mechi moja tu ya juzi ya ligi. Ila zote kafungwa, wewe unaleta unazi wako hapa. Hujui kama hao Wydad wamefungwa hadi na Galaxy?
Una= huna√Akili una ww na mpira ujui
Malizana kwanza na mwarabu mzee sisi tuko hapa Marrakech tunakula tendeEndelea kuteseka
Sasa itakuajeWydad siku hizi imekuwa unga sana
Aaaaah!...yamekua hayo tena ?....hizi timu za leo wanacheza ma bwana miti, hakuna wachezaji hapo
Boss sijui unatazamaje mpira ila binafsi naona Giroud alikuwa ni striker mzuri na aliaminiwa na timu tofauti tofauti hadi katika uzee wake.Hata Oliver Giroud alikuwa anaaminiwa sana na Didier Dischamps kwenye world cup, lakini ni striker mwenye mapungufu kibao ambayo hata asiyejua mpira anayaona.
Ukishasema hakuna striker wa maana zaidi yake inamaana ni sticker bora aliyepoHivyo basi hata Kibu kuaminiwa haimanishi kwamba sio mbovu na hafai kuanza, pengine kwa sababu ndio option iliyopo sababu hakuna striker wa maana zaidi yake.
Mkuu, aina ya uchezaji ndo inasababisha mchezaji aaminiwe na kupangwa au la.Halafu Mimi naongelea hasa aina ya uchezaji wake na sio kuaminiwa/kutoaminiwa.
Tupe mpya .Huu wimbo umeshachuja.
JishikeWaarabu mna niangushe