Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
HahaaaaaNafasi ya Chama aletwe Maghayo The Mongolian Savage na genge lake The Ghayo's gang..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaaNafasi ya Chama aletwe Maghayo The Mongolian Savage na genge lake The Ghayo's gang..
Watasema cha muhimu point tatuzile 5 ziko wapi
TATIZO BOKO PALE.Simba pale kuna wachezaji wa kutimua
Mbele pale hakuna foward kabisa
Angalia
Baleke
Ntiba
Kibu wote majanga mtu yupo na kipa anapiga nnje
Halafu nilikusahau, una bahati na umejileta mwenyewe.Nadhani mmejionea sio mnafungwa goli nyingi
Unakosaje furaha kwa Watu wanaoongea kwa kejeli dhidi ya Yanga SC hata waimba singeli na taarabu wakasome [emoji28]Naona una furahaa unaita majina yote hayo
Ni rahisi kuongea jambo linapo kuwa kwa mwingine, likiwa kwako mmmh!Simba kwa Sasa kushinda, ni Kwa bahati.
Simba kwa Sasa kulinda walau sare, ni Kwa bahati.
Wydad huyu wa leo alikua ni wa kufungwa.
Hili Kundi ndo Yanga angekuwamo, hakika angemaliza akiwa wa kwanza.
Jishikilie sasa usije ukameza unywanywa mambo yakawa mengi. Hatuna hela za matunda sisiHuu umekuwa msimamo wangu siku zote mkuu haujawahi badilika.
Chama
Phiri
Onana
Saido.
Wanashika nafasi za watu wa maana hapo simba.
Tuliyoyaona uwanjani last weekend Vs Ahly nilipanga kulipiza leo. Of course, nilipo nimeshangilia sana.Sema kuna mashabiki wa yanga ni wachawi sana, nimesikia kuna maeneo watu wanashangilia kwa kishindo nikajua simba, kuangalia kumbe wydad nikasema kumbe kuna watu huwa wanashangalia kufungwa kwa wapinzani wao wazi wazi hivi
Unamaanisha nini?Jishikilie sasa usije ukameza unywanywa mambo yakawa mengi. Hatuna hela za matunda sisi
..babe sorryyEm huko nawee, mfyuuuuh
Zile kelele za yanga ya mwisho zimefilia wapi?Kwani mna points ngapi na sisi tunazo ngapi?
Kama tutaendelea kujifanya tuko sawa kwamba Simba hamna tatizo ,basi usikae kutegemea matokeo Mazuri Kwa Simba.Ni rahisi kuongea jambo linapo kuwa kwa mwingine, likiwa kwako mmmh!
Nilikuambia huwa sikimbiiHalafu nilikusahau, una bahati na umejileta mwenyewe.
Kufungwa kufungwa tu, hakuna kufungwa kidogo.